Kuku na
Bata walipanga njama kuni
haribu,wani shambulie mie
kazuku
ati nisi kule chakula ovyo ovyo
kwa sababu nina sema lugha za
watu kumbe nina waumizanga
moyo sana,nimejengewa ka
nyumba ya chuma juu ya usalama
wangu..na hiyo ni mpango ya
Bwana kwa kulinda wenye haki
na kuwa okoa kutoka vita zote.
(vita si yako ni ya Bwana,adui
hawana nguvu.,ni kweli kwamba
sifa yako ni majaribu yako humu
Duniani)
No comments:
Post a Comment